Ingia kwenye Tools, Kisha chagua Add-ons. Chagua mstari wa pili kwenye list za add-ons ulioandikwa Extensions. Utaiona IDM kwenye list ya Extension. Halafu enable, Kama tatizo siyo hilo, basi download latest version of IDM na firefox halafu automatically itakwambia ufanye intergration.