Ideos for sale

Ideos for sale

Spinster

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
487
Reaction score
138
cm ideos .. google for sale
mpya ina mwez m1 tuuu!
price 150000 za kiTz
 
hiyo bei sio ya kuja kuuzia humu JF mkuu. Zimeshauzwa nyingi tu kwa bei kuanzia Tsh100,000-Tsh150,000.
 
ideos??? laki mbili? ure not serious mkuu.....:nono:
 
Hahahaha! Hiki ni kichekesho aisee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
msimcheke, nyie mnakosea ideos zipo nyingi, atiririke ni ideos gani hiyo
 
Jina la kampuni iliyotoa hiyo ideos na model yake ,sababu kuna ideos nyingi kuna za Huawei, etc
 
Jina la kampuni iliyotoa hiyo ideos na model yake ,sababu kuna ideos nyingi kuna za Huawei, etc

amesha-specify kuwa ni ideos google, kwahiyo model tena hatuihitaji cause ni hizihizi zilizozoeleka.
 
amesha-specify kuwa ni ideos google, kwahiyo model tena hatuihitaji cause ni hizihizi zilizozoeleka.
Hapana ideos google zinatengenezwa na makampuni mengi,hata huyu Sapna naye anatengeneza za kwake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom