[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Fursa kuzitumia, ila omba usiwe na mtoto mtundu nyumbani kwako, maana hizo chupa zote atajaza maji
Unatengeneza mwenyewe mkuu au picha za mtandao tu
Picha tu mtandaoniUnatengeneza mwenyewe mkuu au picha za mtandao tu
Mifagio kidooooogo naona afadhali...the rest naona kama uchafu tu..Mmmmmh!! Hapana, labda hiyo mifagio.
Kabisa.Mifagio kidooooogo naona afadhali...the rest naona kama uchafu tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Binamu nawaza tu hilo kochi nikikalia haliwezi kubonyea kweli?Shukraan... Ubunifu mzuri kea Mazingira Bora!!
Sana mkuu kuna wengine wamebuni mpaka mitumbwiSafi sana......Kuna watu wabunifu
Ova
Safi sanaSana mkuu kuna wengine wamebuni mpaka mitumbwi
Hii ndio nimeipenda View attachment 1076662View attachment 1076663
Ha ha ha...usijali kbs.. kwa mpangilio wa vyupa Kochi linahimili watu wawili na katoto just!!Binamu nawaza tu hilo kochi nikikalia haliwezi kubonyea kweli?
Kuumbe. Sina nijualo Binamu.Ha ha ha...usijali kbs.. kwa mpangilio wa vyupa Kochi linahimili watu wawili na katoto just!!
Njoo tuanzishe kiwanda Cha aina hiyo!! Sharti moja!