nicholas john
Member
- Jun 13, 2012
- 27
- 0
acha uswahili wewe kiinglishi chenyewe umevunjavunja, andika kiswahili tu. kama una iadia weka hapa so watu wengi wafaidike ndio maana hapa pakaitwa jamii forum, im sure na wewe umefaidka na aidia kibao za watu generous humu.O713979798 inside of month you can make a profit wch ll b equa value wth ur capital
We utakuwa mganga wa kienyeji wewe. Kwa hiyo akikupa hizo mil 1 atapata mil100 au?nitafte 0658825141 kuna idea za biashara nyng sana.
We utakuwa mganga wa kienyeji wewe. Kwa hiyo akikupa hizo mil 1 atapata mil100 au?
Nashukuru sana kaka,ni good idea ngoja nifanye utafiti zaidi.nitafte 0658825141 kuna idea za biashara nyng sana.
fungua kibanda cha kuuza vucha za simu ne upate uwakala ta tigo pesa,m pesa na airtel money inalipa ile mbaya
umempigia akakupa hiyo idea!!!!!!!amekushauri ufanye biashara gani?Nashukuru sana kaka,ni good idea ngoja nifanye utafiti zaidi.
kama hana aibu pia anaweza kununua robota la nguo za kike laki 3 akawa anauza kila nyt! Akirudi chuoni.
Hapana sijampigia,kwani nadhani ameshaziandika idea hizo humu humu.Nimeona inatosha, pia ni vizuri zaidi iwe faida kwa wote hili suala lizungumzwe humu humu.aibu inakujaje hapo!!!!