Ingia website ya TAMISEMIWakuu.
Kama kichwa kinavyosema naomba kujua odadi ya Mikoa na Wilaya za Tanzania bara pekee.
Natangaliza shukrani.
Hapana ni bara tuPamoja na visiwani sio?
Manyama=ManyaraJamla ya mikoa ni 31 Ile ya Zamani ilikua 26 na mpya 05 ambayo ni songwe, katavi, njombe, simiyu na Geita. Ile ya Zamani ngoja nijaribu pia kuiweka hapa
1. Mara
2.mwanza
3.shinyanga
4. Tabora
5. Singida
6.dodoma
7. Morogoro
8. Pwani
9. Dar es salaam
10. Arusha
11. Kilimanjaro
12. Manyama
13. Tanga
14.kigoma
15. Kagera
16. Rukwa
17. Lindi
18. Mtwara
19. Mbeya
20.iringa
21.Ruvuma
Mingine sikumbuki japokua naona kama nimetaja yote
Bara peke yake baada ya kuongeza mikoa mipya.Pamoja na visiwani sio?
Asante mkuuManyama=Manyara
Umeacha mikoa yote mitano mipya ambayo ni Geita, Simiyu, Njombe, Katavi na SongweJamla ya mikoa ni 31 Ile ya Zamani ilikua 26 na mpya 05 ambayo ni songwe, katavi, njombe, simiyu na Geita. Ile ya Zamani ngoja nijaribu pia kuiweka hapa
1. Mara
2.mwanza
3.shinyanga
4. Tabora
5. Singida
6.dodoma
7. Morogoro
8. Pwani
9. Dar es salaam
10. Arusha
11. Kilimanjaro
12. Manyara
13. Tanga
14.kigoma
15. Kagera
16. Rukwa
17. Lindi
18. Mtwara
19. Mbeya
20.iringa
21.Ruvuma
Mingine sikumbuki japokua naona kama nimetaja yote
Hipo hapo juu mkuu soma vizuriUmeacha mikoa yote mitano mipya ambayo ni Geita, Simiyu, Njombe, Katavi na Songwe
Songea siyo Mkoa ni kama Moshi, BukobaKwa Tanzania Bata ni
.....
17.Songea
18.Ruvuma
......
26.Manyara