ICT

KingDenis

Senior Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
183
Reaction score
77
msaada wakuu ninapenda kujua kuhusiana na mambo ya ICT nataka nikasomee, hi imeishia level gani na je ikoje kwenye soko la ajira.
 
msaada wakuu ninapenda kujua kuhusiana na mambo ya ICT nataka nikasomee, hi imeishia level gani na je ikoje kwenye soko la ajira.
Kwenye soko la ajira labda ujiajiri labda computer engineering kidogo
 
Usisome computer engineering.
Kasome ICTB, ICTM, ITS au computer science.

Kuna mambo mengi kwenye ICT. Ila kama unataka kuwa fundi mchudo kasome engineering
 
utakuwa mwalimu wa hilo somo au utakuwa kazi yako kutafuta kazi
NB:NAKUSHAURI TAFUTA KOZI NYINGINE YA KOMPUYTA
 
Nenda kasome hiyo ni nzuri sana hata IT pia usikatishwe tamaa na kutishwa tishwa na jamaa humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…