huuu ni umaskini tu huwezi ajiri mtu mmoja tena mwenye masters akafanye kazi zote izo tena kazi zenyewe zaki technicial aisee yaan mtu huyo huyo ajue kila kitu kilichopo apo kweli apan aise labda kama mtamlipa milioni 7 kupanda juu kwa mwezi apo sawa