Shaban Rajab
Member
- Nov 1, 2017
- 79
- 31
Mbona unagunaMmmh
Ni wabongo tu bado atujaamka sema wenzetu wameshafanya iyo kituHuu utapeli WA mchana kweupe
inawezekana ndugusi nasikia walishindwa!
unlock your iphone online today!
i unlock all models.. iphone 4,4s,5,5s,5c,SE,6,6s,6+,6s+,7,7+ & X
this service takes 3-4 days
call or sms me +255769345032/+255654250816 if you need this service
thank you!
Thats is the only way to prrove youUna unlock ICLOUD account au una unlock simu ya iphone iliyopo locked maalumu kwa mtandao au nchi fulani?
Maana sijakuelewa.....
Kama ni ICLOUD unadanganya watu maana ICLOUD ni account unayofungua kusajilisha handset yako ya iphone na Apple,unaset password yako mwenyewe na unaweza tumia email ID yoyote uitakayo,sasa wewe ni nani unaweza hack hizi account za watu eti kirahisi namna hii?
Labda unataka ku unlock simu ya iphone iliyoko locked na mtandao fulani,na kama ipo locked na Icloud account ya mtu,there is nothing you can do at all!
Thats is the only way to prrove youView attachment 704357
Thats is the only way to prrove youView attachment 704357Una unlock ICLOUD account au una unlock simu ya iphone iliyopo locked maalumu kwa mtandao au nchi fulani?
Maana sijakuelewa.....
Kama ni ICLOUD unadanganya watu maana ICLOUD ni account unayofungua kusajilisha handset yako ya iphone na Apple,unaset password yako mwenyewe na unaweza tumia email ID yoyote uitakayo,sasa wewe ni nani unaweza hack hizi account za watu eti kirahisi namna hii?
Labda unataka ku unlock simu ya iphone iliyoko locked na mtandao fulani,na kama ipo locked na Icloud account ya mtu,there is nothing you can do at all!
Adi nimekuja kuweka ili tangazo ujue nimesha unlock simu tatu na zote nimefanikiwaMkuu hao wamkuingiza cha kike!
Sio wakweli...fanya zoezi kamili utuwekee video hapa!
Hao ni waongo!
Apple wangekua washawabanika kwenye umambo na kuwala nyama!...
Iphone kama ipo locked tayari na hujui password,mzee isahau!
Mkuu acha uongo asee hata gsmhosting wanahangaika mpk leo no soln asee kwenye ICLOUD siri anayo mtunzi pekee ndo awezaye kufanya yoteThats is the only way to prrove youView attachment 704357
Adi nimekuja kuweka ili tangazo ujue nimesha unlock simu tatu na zote nimefanikiwa