icloud kwa iphone

icloud kwa iphone

Big jay

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
96
Reaction score
33
Nimeuziwa simu iphone 4 kwa bei chee sana ila nimeambiwa ina icloud nitawezaje kuifungua ni wapi naweza pata hii huduma?
 
Huwez hyo cmu uza spea tu i cloud haitokii na kama mwenye simu anaiyafta ukiweka lain na kuwasha simu wata kukutrack vizuri kuwa makini
 
Huwez hyo cmu uza spea tu i cloud haitokii na kama mwenye simu anaiyafta ukiweka lain na kuwasha simu wata kukutrack vizuri kuwa makini

Nimekusoma mkuu ila lengo ni kuifungua ikiwezekana mengine yatafuata
 
I cloud zinatoka as long as they have not reported to have be stolen
 
Ikiwa imeripotiwa huwezi kuitoa mpaka mwenye sim umjue aifungue
 
Back
Top Bottom