ComputerExpertsTz
Member
- May 4, 2013
- 41
- 4
Ichunge Misingi 6 ya Mafanikio:
(1) Usimchukie Yoyote Hata Kama Atakukosea Vipi.
(2)Ishi Maisha ya kawaida Hata Kama Upo Juu
(3) Tarajia ushindi Hata Kama Mapito ni magumu
(4) Toa maamuzi yako hata kama utashawishiwa
(5) Onesha Tabasam Hata Kama Moyo Unavuja Damu
(6) Usiache Kuwaombea maadui zako; kumweka Mungu mbele katika kila jambo
hayo kwenye red kwangu ni ngumu sana ,ukisha nikosea nakusahau kabisa kabisa kwa hiyo situmii effort yakusamehe!! pia ukiniudhi siwezi cheka kwangu unafki hamna nakuchana live utantafuta wewe na sio mimiIchunge Misingi 6 ya Mafanikio:
(1) Usimchukie Yoyote Hata Kama Atakukosea Vipi.
(2)Ishi Maisha ya kawaida Hata Kama Upo Juu
(3) Tarajia ushindi Hata Kama Mapito ni magumu
(4) Toa maamuzi yako hata kama utashawishiwa
(5) Onesha Tabasam Hata Kama Moyo Unavuja Damu
(6) Usiache Kuwaombea maadui zako; kumweka Mungu mbele katika kila jambo
Hiyo namba tano (5) mi imenishinda maana naona nitakuwa naishi maisha ya kinafiki. Kama mtu kaniudhi namwambia na yanaishia hapo na kama amenifurahisha nafanya vivyo hivyo. Sioni mantiki ya kuvaa ngozi ya Kondoo wakati ndani yangu ni mbwa mwitu mkali, no hilo siwezi!
hayo kwenye red kwangu ni ngumu sana ,ukisha nikosea nakusahau kabisa kabisa kwa hiyo situmii effort yakusamehe!! pia ukiniudhi siwezi cheka kwangu unafki hamna nakuchana live utantafuta wewe na sio mimi
sifanyi biashara kicha nawaombea nini??akati ni adui tayari!!nakusahau tu kama wengine

(5) Onesha Tabasam Hata Kama Moyo Unavuja DamuYou missed the point.
Mtoa mada amemaanisha kwamba usimuonyeshe kila mtu kwamba ndani uko hoi na sio usimuonyeshe muhusika. Mf. kama una matatizo yako nyumbani usiruhusu kila utakaekutana nae nje ya nyumbani kwako ang'amue hilo. Sio unamnunia/mlilia kila mtu.