NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,275
Ukitaka kuamini waafrika wanafata mkumbo kila kitu bila kujua wanachofanya angalia IceBucket challenge ambayo imesambaa sana kwenye social media sites, sasa hadi waafrika nao wanaunga mkono kila mtu anamnominate mwenzake..
Swali langu, hivi wanajua hata maana ya hii challenge? hii ni kwa ajili ya ugonjwa wa ALS ambao inshort cases zake hata africa hazijawahi sikika, ziko marekani, tunawasaidia kuhandle matatizo yao huku yetu bado yamejaa.. ugonjwa wenyewe ukilinganisha na kitu kama ebola ule hauna hatari kabisa, si contageous kwamba unaambukizwa kutoka kwa mtu moja kwenda mwingine.. sasa badala waafrika tukae angalau tuseme tuchangie kutatua matatizo yetu tuliyo nayo ambayo ni mengi mno, tunakaa kuwatatulia matatizo madogo madogo US, kwanza wana hela za kutosha tyr hadi sasa...
Hii ignorance ya afrika ni next level, na hamna kinachofurudisha nyuma kama ignorance, tusianze kusingizia serikali kwanza huku sisi wenyewe hadi mambo madogo haya yanatupiga chenga..