EMMANUEL NSAMBI
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 402
- 83
Mkutano wa Umoja wa Africa uliofanyika hivi karibuni umebariki ujenzi wa Mahakama itakayoshughulikia masuala ya jinai. Rais Kikwete ameahidi kwamba serikali itatoa eneo na kugharamia ujenzi wa mahakama hiyo. Kwanza nawapongeza wanadiplomasia wa Tanzania kwa kufanikisha kuishawishi AU kujenga mahakama hapa. Arusha baada ya muda itakuwa New York ya Africa. Suala ni je hiyo mahakama itakuwa huru au itasimamiwa na hawa watawala wahalifu ambayo mahakama inapaswa iwashughlikie?
Jamani sisi ni nchi huru kwanini tuseme New York ya Afrika? Ndio yale yale ya kuku wa kizungu. Hakuna kitu kama hicho Arusha ni Arusha na dunia nzima ifahamu hivyo sana sana watu wa New York ndio waige kama wanataka. Kuna wakati Rais wa Marekani alisema Arusha ni Geneva ya Afrika cha ajabu ukumbi wa AICC wakaweka slogan "Geneva ya Afrika". Sio sahihi tujivunie vya kwetu na majina yetu.
kuna mdau ana habari ni sehemu gani ya arusha itajengwa
Raisi Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Tanzania itagharamia ujenzi wa mahakama
ya Afrika (African court of human and peoples Rights) itakayojengwa Arusha.
My Take:
1.Hivi kama hatuna hata hela ya kuwalipa madaktari hii mahakama tunatoa wapi?
2.Hii mahakama ina manufaa gani kwetu mpaka ijengwe kwa hela ya serikali?
Namaanisha Arusha itakuwa kitovu cha shughuli za kimataifa kama ilivyo NYCMkutano wa Umoja wa Africa uliofanyika hivi karibuni umebariki ujenzi wa Mahakama itakayoshughulikia masuala ya jinai. Rais Kikwete ameahidi kwamba serikali itatoa eneo na kugharamia ujenzi wa mahakama hiyo. Kwanza nawapongeza wanadiplomasia wa Tanzania kwa kufanikisha kuishawishi AU kujenga mahakama hapa. Arusha baada ya muda itakuwa New York ya Africa. Suala ni je hiyo mahakama itakuwa huru au itasimamiwa na hawa watawala wahalifu ambayo mahakama inapaswa iwashughlikie?
Jamani sisi ni nchi huru kwanini tuseme New York ya Afrika? Ndio yale yale ya kuku wa kizungu. Hakuna kitu kama hicho Arusha ni Arusha na dunia nzima ifahamu hivyo sana sana watu wa New York ndio waige kama wanataka. Kuna wakati Rais wa Marekani alisema Arusha ni Geneva ya Afrika cha ajabu ukumbi wa AICC wakaweka slogan "Geneva ya Afrika". Sio sahihi tujivunie vya kwetu na majina yetu.
kuna mdau ana habari ni sehemu gani ya arusha itajengwa
Waache wajenge uchumi wa arusha unyanuke watu walambe ajira.
kuna mdau ana habari ni sehemu gani ya arusha itajengwa
Mkutano wa Umoja wa Africa uliofanyika hivi karibuni umebariki ujenzi wa Mahakama itakayoshughulikia masuala ya jinai. Rais Kikwete ameahidi kwamba serikali itatoa eneo na kugharamia ujenzi wa mahakama hiyo. Kwanza nawapongeza wanadiplomasia wa Tanzania kwa kufanikisha kuishawishi AU kujenga mahakama hapa. Arusha baada ya muda itakuwa New York ya Africa. Suala ni je hiyo mahakama itakuwa huru au itasimamiwa na hawa watawala wahalifu ambayo mahakama inapaswa iwashughlikie?
Jamani sisi ni nchi huru kwanini tuseme New York ya Afrika? Ndio yale yale ya kuku wa kizungu. Hakuna kitu kama hicho Arusha ni Arusha na dunia nzima ifahamu hivyo sana sana watu wa New York ndio waige kama wanataka. Kuna wakati Rais wa Marekani alisema Arusha ni Geneva ya Afrika cha ajabu ukumbi wa AICC wakaweka slogan "Geneva ya Afrika". Sio sahihi tujivunie vya kwetu na majina yetu.
Sioni kama ina ubaya, give it any name as long as it creates employment its ok