fitina za ccm hawezi kuipambanisha. kuifarakanisha ukawa.
chokochoko zozote hazita fanikiwa kubomoa umoja huu ni mpango wa mungu kwa ajili ya ukombozi.
Ukawa tuna nia thabiti na ya dhati kuikomboa tanganyika na zanzibar dhidi ya mafisadi na wabadhirifu
Nia yako mbaya umeishachagua mgombea wako wa uraisi na unataka kuwapangia wengine majukumu tofauti mi nashauri asitokee mgombea yeyote kutoka chadema kwa sababu hawana uzoefu wa kugombea kama Lipumba au unasemaje?