Escotter20
JF-Expert Member
- Jul 20, 2020
- 505
- 970
Natamani ianzishwe ligi ya tackling Kati ya Baka na Bacca.... Mechi ambazo Ibrahim Bacca amecheza kuanzia group stage CAFCC.
[emoji1241] Yanga 2 - 0 Bamako [emoji1159]
[emoji1241] Yanga 2 - 0 Monastir [emoji1249]
[emoji1241] Yanga 1 - 0 Mazembe [emoji1078] - (A)
[emoji1241] Yanga 2 - 0 Rivers [emoji1184] - (A)
[emoji1241] Yanga 0 - 0 Rivers [emoji1184]
00 - Magoli ya kufungwa. Rivers katika mechi zote (2) hawajapiga shot on target (0).
Mechi ambazo Ibrahim Bacca hakucheza kuanzia group stage CAFCC
[emoji1241] Yanga 0 - 2 Monastir [emoji1249] - (A)
[emoji1241] Yanga 3 - 1 Mazembe [emoji1078]
[emoji1241] Yanga 1 - 1 Bamako [emoji1159] - (A)
04 - Magoli ya kufungwa
Mechi zote za Yanga msimu huu CAF hadi walipofika nusu fainali.
01. [emoji736] Yanga 4 - 0 Zalan [emoji1223] - (A)
02. [emoji736] Yanga 5 - 0 Zalan [emoji1223]
03. [emoji1666] Yanga 1 - 1 Al Hilal [emoji1232]
04. [emoji735] Yanga 0 - 1 Al Hilal [emoji1232] - (A)
05. [emoji1666] Yanga 0 - 0 Africain [emoji1249]
06. [emoji736] Yanga 1 - 0 Africain [emoji1249] - (A)
07. [emoji735] Yanga 0 - 2 Monastir [emoji1249] - (A)
08. [emoji736] Yanga 3 - 1 Mazembe [emoji1078]
09. [emoji1666] Yanga 1 - 1 Bamako [emoji1159] - (A)
10. [emoji736] Yanga 2 - 0 Bamako [emoji1159]
11. [emoji736] Yanga 2 - 0 Monastir [emoji1249]
12. [emoji736] Yanga 1 - 0 Mazembe [emoji1078] - (A)
13. [emoji736] Yanga 2 - 0 Rivers [emoji1184] - (A)
14. [emoji1666] Yanga 0 - 0 Rivers [emoji1184]
NB ; Tangu Bacca aanze kucheza CAFCC, Yanga hawajaruhusu bao !! [emoji848]..
... Yanga hajapoteza nyumbani [emoji3514]
Huyo ni Mpemba . Sio Mzanzibari. Wazanzibari ni hao akina Feisal, Mohammed Issa "Banka" , Abdulaziz Makame na Said Juma Makapu.Mzanzibari Mgumu.
Tumpe sio maua tu akitaka hata Mke tumtaftie kule kwa makolo tumpe
Kama ilitolewa kwa walio bora 10 afrika,basi ni kinyesi tuYanga hii ndio timu bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania.
Hujui mpira mkuu,shabikia rede tu.yaani baka wa kufananisha na inonga kweli???dah wakuu mna dharau sana.Mimi ni Simba lakini pale yanga imelamba Dume.
# MSIJE MKATHUBUTU KUMLINGANISHA NA INONGA.
KWA INONGA BADO SANA....
AJITAFUTE MALA 100
Mpaka leo hata sielewi kocha wa Yanga alikula maharage ya wapi kwenye mechi na simba, kiasi cha kuamua kumuacha nje!... Mechi ambazo Ibrahim Bacca amecheza kuanzia group stage CAFCC.
πΉπΏ Yanga 2 - 0 Bamako π²π±
πΉπΏ Yanga 2 - 0 Monastir πΉπ³
πΉπΏ Yanga 1 - 0 Mazembe π¨π© - (A)
πΉπΏ Yanga 2 - 0 Rivers π³π¬ - (A)
πΉπΏ Yanga 0 - 0 Rivers π³π¬
00 - Magoli ya kufungwa. Rivers katika mechi zote (2) hawajapiga shot on target (0).
Mechi ambazo Ibrahim Bacca hakucheza kuanzia group stage CAFCC
πΉπΏ Yanga 0 - 2 Monastir πΉπ³ - (A)
πΉπΏ Yanga 3 - 1 Mazembe π¨π©
πΉπΏ Yanga 1 - 1 Bamako π²π± - (A)
04 - Magoli ya kufungwa
Mechi zote za Yanga msimu huu CAF hadi walipofika nusu fainali.
01. β Yanga 4 - 0 Zalan πΈπΈ - (A)
02. β Yanga 5 - 0 Zalan πΈπΈ
03. π€ Yanga 1 - 1 Al Hilal πΈπ©
04. β Yanga 0 - 1 Al Hilal πΈπ© - (A)
05. π€ Yanga 0 - 0 Africain πΉπ³
06. β Yanga 1 - 0 Africain πΉπ³ - (A)
07. β Yanga 0 - 2 Monastir πΉπ³ - (A)
08. β Yanga 3 - 1 Mazembe π¨π©
09. π€ Yanga 1 - 1 Bamako π²π± - (A)
10. β Yanga 2 - 0 Bamako π²π±
11. β Yanga 2 - 0 Monastir πΉπ³
12. β Yanga 1 - 0 Mazembe π¨π© - (A)
13. β Yanga 2 - 0 Rivers π³π¬ - (A)
14. π€ Yanga 0 - 0 Rivers π³π¬
NB ; Tangu Bacca aanze kucheza CAFCC, Yanga hawajaruhusu bao !! π€..
... Yanga hajapoteza nyumbani βοΈ
Yanga ya sasa haijawahi kutokea katika nchi hii, hakuna timu iliyowahi kuwa na confidence on the pitch kama yanga tangu mpira wa nchi hii ulipoanzishwa, timu haisubiri uwanja wa nyumbani, ukilegea inakufunga hata kwako na mpira unapigiwa, kwenye ukweli tuseme ukweli jmn.Kama ilitolewa kwa walio bora 10 afrika,basi ni kinyesi tu