Jaman wana JF.Nimeuziwa monitor aina ya IBM flat scree,Haina cable hata moja.Je inatumia cable sawa na flat screen nyingin au IBM Cable zake ni tofauti? Vp indumu au ni bomu?sijui vitu vya kiteknologia kwa undani ndio mana nawashirikhsha jamani.
Nawasilisha.
Baadhi ya watz ni wajinga kupita kiwango! Lakini we ni namba moja kwa ujinga!! Kwa umri ulionao utachukua mda mrefu sana kuerevuka! Yani baada ya kuinunua ndo unatuuliza? Labda nikuulize swali, inatokea wewe unataka unywe sumu na ufe baada ya dk 5,kisha unanunua sumu uijuayo wewe bila kuuliza wataalamu unakunywa inachukua masaa matatu unahangaika tuu kwa maumivu hufi! Baada ya hapo unawauliza walimwengu kuwa eti sumu gani itakumaliza haraka?
Kwa kukusaidia we mjinga ni: monita hiyo inatumia adapter? kwa upande wa VGA cable monitor nyingi sana ikiwemo aina ya IBM zinaingiliana,kama haitumii adapter chukua cable yoyo ya euro cable ikonecti kwenye umeme na VGA ikonekti kwe CPU kisha washa komputa
Mkuu naona watu wanakushambulia ukienda duani sema unataka VGA cable/ waya wa flat screen monitor
Waya wenyewe una vichwa viwili kimoj cha kuunganisa upande wa Monitor kinginee cha kuunganisha upade wa PC . Nimekuweka na picha hapo
Mpaka hapo nadhani utakuwa umeelewa.
asante mtazamaj.hii monitor ni ya 2001.Na type yake IBM FLAT SCREEN type 9511-dw4.inaonekana inatumia pini tofauti na ulizonionyesha.Nimeangalia pini yake inakuwa ndefu zaid ya hizo ulizonionyesha.Nisaidie jinsi ya kuattachb picture.
OK hiyo part number imetoa msaada mkubwa sana kwenye ku google. Na hiyo part number ndo msaada wa kupata cable sahihi hata utaapokwenda kutafuta dukunai
Hiyo Minotor inatumia cable ya DVI na sio VGA standard kwa mujbu wa vyanzo nilivyosoma.
So cabale unayotakiwa kununua ni DVI to VGA amabayo itakuwa na vichwa kama hii picha inavyoonyesha
Sasa sababu kompyuta na nyiingi display intefaces nyingi zilizopo ni VGA . kama cable uliyonayo ina vichwa vya DVI kote kote . yaani kama hii picha
utahitajika kununua converter ambayo utapachika kwenye computer ili iweze kuoanisha cable hiyo monitor na computer
DVI to VGA converter yenyewe inakuwa kama hivi
----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kuhusu ku attach picha Angalia hapo kwenye unayotumia uandika comment huo msatri wenye B I U. Ukiendelea kulia zaidi utakuta nembo ya bahasha. Badaa ya nembo ya bahasha kuna nenmbo ambayo uki click unaweza kutumia ku attach image.
Kifupi ukisogeza cursor yako kwenye vinembo unavyoona juu ya kibksi cha kuandika commnet itakumbia kila kinembo kitafanya kazi gani na unaweza kutumia. iwe kua attcha video, code au picha.
Sorro hata kwa kiswahili my first anguage nashindwa kuelezea. vizuri.
kutokana na jinsi ulivyo google system yake ya power inatumia adapter?maana naona kuna sehemu kama kuna kitobo cha adapter.Pia nauliza cable hizo zinaweza kuwa shilini ngap?Na hiyo convftop pia sh ngap?
tizo bei ya hizo cable inategema uko wapi. Sijui inaweza kuwa shilingi ngapi but nahisi haiwezi kuzidi tsh 15,000
power requirement soma kwenye hii page lenovo support - t54d 15.0-inch white digital flat panel monitor - overview una kipengele cha power requirement.
Au cheki hii http://download.lenovo.com/ibmdl/pub/pc/pccbbs/visuals/l170_eng.pdf
manual document japo siyo ya minotor yako itakupa picha kamili
njoo dukani kwangu nikuuzie hivyo vitu jana uko hapa dar ni email kwa pressdown@hotmail.com adapter 75000 na hiyo vga cable ni 15000
adapter ni 7500 au 75000?
soma maelezo nyuma ya hiyo screen alafu useme wameandika kuhusu power 'input wameandika volt ngapi?'
Wameandika DC. 12V ndugu yangu.