nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
Mikia ni shida.Kweny mpira lolote laweza tokea! Inaonekana wewe sio mwanasoccer! Mfano game ya Liverpool na Barcelona, 200% walijua Barcelona wanaenda final but ikawa kinyume
facts checking..nachukia uongo wake na tabia zake za kipuuzipuuzi za uongo na majivuno ya kijinga,bado threads nyingine zinakuja leo za kutosha tu. Brace yourselfZahera kakufanyia nini
Mwinyi Zahera wa Yanga ana miaka 56 siyo 46
Yule mzee muongo muongo san hapa huwa anajitambulisha he is 46,why lakini jamani na nyie waandishi wetu hata kufatilia mlishindwa kutwa kujisifu kafundisha ulaya kumbe hiyo afc tubize ipo daraja la tatu ubelgiji. soma hii hapa habari ya 2010 ikimtambulisha kama caretaker manager wa afc tubize...www.jamiiforums.com ina maana msaidizi wa zahera kamzidi mshahara?
soma hii habari ya kocha wa simba kuongezewa mshahara na kulipwa 22.7 million a month halafu paragraph ya mwisho inasema anayemfatia ni msaidizi wa yanga noel lwandima nayelipwa milion 7 .Ina maana zahera kazidiwa na msaidizi wake? Simba SC has recently submitted a new 1 year contract to their...www.jamiiforums.com
agh wapi Ibenge mwenyewe kakuambia ni mission impossible.mwezi wa nane msimcheleweshee mshahara iel kazi ya kule atakuwa hana tenaKweny mpira lolote laweza tokea! Inaonekana wewe sio mwanasoccer! Mfano game ya Liverpool na Barcelona, 200% walijua Barcelona wanaenda final but ikawa kinyume
hata boss wake Ibenge naye anakula mishahara miwili national team na As Vita kitu kinachowakera sana wacongo,wanaona yeye na msaidizi wake zahera hawapo serious na kazi zao mbilimbili.Huyu zahera kutwa kuikandia simba kwamba inafanya figisu lakini Ibenge alipokuja hapa na As vita alimu acknowledge kocha wa simba akamsifia na kwamba walisoma wote mafunzo ya ukocha kuko ufaransaDuh,watu mpo deep..! Yaani Zahera anakula dabo salare..! Yaani salare moja ikiisha basi mtafutano utaanzia hapo..! Kazi ipo.
huwezi amini hayo maneno hata mtaani wanaamini hivyo,nasubiri kwa hamu mwezi wa nane atakavyowabadilikiaWe waache TU. Zahera atawabeba mwisho atachoka. Wenyewe wanajisifu kocha uwa anawalipia wachezaji nauli za ndege.
Haya Ndio matatizo makuu ya wabongo kumuombea mabaya mwenzako na wivu usio wa msingi. Hapa Ndipo tunapofeli. Badala ya kufanyia kazi mambo ya msingi kwenye soka letu tunaishia kudiscuss watu na kuwaombea mabaya.huwezi amini hayo maneno hata mtaani wanaamini hivyo,nasubiri kwa hamu mwezi wa nane atakavyowabadilikia
We mmbeya utaolewa wewefacts checking..nachukia uongo wake na tabia zake za kipuuzipuuzi za uongo na majivuno ya kijinga,bado threads nyingine zinakuja leo za kutosha tu. Brace yourself
umuombee mazuri mtu ambaye mkishinda hakosi gubu hadi kwenda congo kupakazia simba wanaopuliza sumu vyumbani?zahera is a comedian and a liarHaya Ndio matatizo makuu ya wabongo kumuombea mabaya mwenzako na wivu usio wa msingi. Hapa Ndipo tunapofeli. Badala ya kufanyia kazi mambo ya msingi kwenye soka letu tunaishia kudiscuss watu na kuwaombea mabaya.
mmbeya hana shidsa anafikisha taarifa za kweli,shida ni muongo kujifanya tajiri mwenye cv kubwa ulaya kumbe alifundisha team ya daraja la tatu ubelgiji na vi team vya conference huko franceWe mmbeya utaolewa wewe
Si bora yeye . Always there's next time alifundisha watoto wa miaka mitanommbeya hana shidsa anafikisha taarifa za kweli,shida ni muongo kujifanya tajiri mwenye cv kubwa ulaya kumbe alifundisha team ya daraja la tatu ubelgiji na vi team vya conference huko france
Kamchokonoa pale nyumaZahera kakufanyia nini
Mwinyi Zahera wa Yanga ana miaka 56 siyo 46
Yule mzee muongo muongo san hapa huwa anajitambulisha he is 46,why lakini jamani na nyie waandishi wetu hata kufatilia mlishindwa kutwa kujisifu kafundisha ulaya kumbe hiyo afc tubize ipo daraja la tatu ubelgiji. soma hii hapa habari ya 2010 ikimtambulisha kama caretaker manager wa afc tubize...www.jamiiforums.com ina maana msaidizi wa zahera kamzidi mshahara?
soma hii habari ya kocha wa simba kuongezewa mshahara na kulipwa 22.7 million a month halafu paragraph ya mwisho inasema anayemfatia ni msaidizi wa yanga noel lwandima nayelipwa milion 7 .Ina maana zahera kazidiwa na msaidizi wake? Simba SC has recently submitted a new 1 year contract to their...www.jamiiforums.com
Chuki umchoma anaehifadhifacts checking..nachukia uongo wake na tabia zake za kipuuzipuuzi za uongo na majivuno ya kijinga,bado threads nyingine zinakuja leo za kutosha tu. Brace yourself