Ibenge atua Morroco kujiunga na Rs Berkane yadaiwa yuko na Djuma Shabani

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
1,061
2,475
Mambo ni faya mambo ni motooo jameni, Florent Ibenge baada ya kujiuzulu kazi pale AS Vita katua kwenye mpunga mnene huko Morocco na inasemekana katika wachezaji alioingia nao hapo klabuni ni Djuma shabani.

Kama habari ya Shabani itakuwa kweli itabidi Wallace karia ajiuzulu maana TFF wameizidi kuionea yanga na kuhakikisha haipati wachezaji wazuri na hata mitambo ya mabao ikitua yanga huwa inafanyiwa fitina za waziwazi kabisa kama vile mitambo hiyo ya mabao kulogwa bila shirikisho kuchukua hatua stahiki au team ndogondogo kuikamia yanga baada ya kuahidiwa kiasi cha fedha na team fulanifulani

ibeee.PNG

fulanifulani
 
Habari za uhakika toka huko kwa nchi ya kifalme morocco ni kwamba muda wowote Djuma shabani atatambulishwa kama mchezaji wa rs berkane yeye na kocha ibenge
 
Kama ni ivyo kwa Dhuma Shabani basi lawama zote kwa tff badala ya lawama apewe Eng aliyewaaaminisha wanaYanga
 
Kama ni ivyo kwa Dhuma Shabani basi lawama zote kwa tff badala ya lawama apewe Eng aliyewaaaminisha wanaYanga
Tff imeshindwa hata kuilinda mitambo ya magoli iliyoko yanga ikifika tu nchini inalogwa na hakuna hatua yoyote inayochukuliwa na karia
 
Back
Top Bottom