Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
Wanajamvi, ijumaa ya wiki hii kuna ibada ya kumwabudu Shetani ktk jiji la Mwanza.
Ibada hii itaanzia ktk Nyumba maalumu iliyopo eneo la Kapri point na kisha itaishia katikati ya ziwa Victoria Kwa wanachama hao wamwabudio ibilisi kushuka chini ya Maji mengi.
Hii ni ibada maalumu ya matajiri tu.
Hapa ndipo ibada hiyo itahitimishwa saa 9 alfajiri, inaanza saa 6 usiku.