Iam looking for HIV positive man for seriou relationship

eeev

Member
Joined
Jan 30, 2015
Posts
11
Reaction score
3
nina rafiki yangu kipenzi ameathirika. ana afya nzuri na hatumii dawa. anamtafuta mwanaume mwenye status kama yake. awe na umri wa kuanzia 30 kwenda juu ili ukiwezekana waishi pamoja. tafadhali tuwe wastaarabu. mwenye matusi apite pemben
 
Usimwite ameathirika sema ana maambukizi. Kila mtu ni muathirika wa hili tatizo.
 
Vp wenye afya njema wanapokelewa
 
nina rafiki yangu kipenzi ameathirika. ana afya nzuri na hatumii dawa. anamtafuta mwanaume mwenye status kama yake. awe na umri wa kuanzia 30 kwenda juu ili ukiwezekana waishi pamoja. tafadhali tuwe wastaarabu. mwenye matusi apite pemben

Check PM ila tutakuwa tunatumia Kinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…