I will never ever return to Afghanistan

Woow, inaumiza; Wafuga madevu ni watu hatari.
Wacha uzezeta huo na ufinyu wa mawazo kama ungekuwa mwanangu ningekubadilisha na mkate tu , mbona Waganda walipoingia Kagera tuliwaua mpaka wakasema basi sasa kwa kuwa kule umeona ni Waislamu na haikukupitikia kama wamevamiwa na majeshi ya kigeni ,hivyo ni haki yao ,na kama hufahamu ugonvi wa ndugu inasemwa haifai kuingilia ,sasa jiulize kwa nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…