Alipendwa na wengi nami nilipenda awe wangu tu, sikutaka share. Alikuwa fisadi wa pendo le2! Ktk kipind hk cha mpito yataka moyo kweli! Am micn him so much, natamani kumpigia nickie japo sauti yake...! Everytime i hear Ballerina Girl song i do melt with.......! Najipa moyo nitamsahau na atampata atakaemfaa maishani though he insisted am the only balerina girl of his lyf.