aisee! karibu sana baba angu,aisee habari ya huko utokako ?aisee umekuja na mbenge?
ha ha ha huju jamaa lazima atakuwa ni Mangi tu,maana wao ndio wanapenda mambo ya aisee aisee.
Hah haha haa.. asanten isee kwa ukaribisho wa aina tofautitofauti, nimejikuta nacheka sana... kweli you are great thinkers nyie watu, duh.. thanks a million!
Blueray, unakumbuka kwenye IMF Conference, Bob Geldof alisema alipomuuliza Kikwete kwa nini hutaji wabadhilifu wa Bandari anaosema anawajua, Kikwete akamjibu kwa kicheko, unajua zile za kibongo za "we acha tu," basi mzungu hakuelewa body language ya Kitanzania, akadhani Kikwete kamdharau, akasema "you snicker"? Akaja kumrarua hadharani.
Ndio hizi sasa, jamaa anaulizwa kuhusu alichosema, anacheka! "Isee.. Aisee .. Ai see" ndio nini?