i pod

i pod

MTU MREFU

Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
60
Reaction score
7
Kwa wataalam wa i pod,ukitaka ku toa wimbo kuhamisha kwenye laptop kutoka kwenye i pod unafanyaje?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Apple devices zinatumia ITUNES kuhamisha vitu, so itafute and use it.
Ipo nyingine rahisi inaitwa ITOOL ipo for free ila mpaka uwe umeinstal ITUNE.
 
Apple devices zinatumia ITUNES kuhamisha vitu, so itafute and use it.
Ipo nyingine rahisi inaitwa ITOOL ipo for free ila mpaka uwe umeinstal ITUNE.

unaweza nisaidia kunielekeza how to use i tunes nnayo hapa
 
Inategemea Na Aina Ya Ipod Mkuuu.. Kwa I pod Touch Huwez Toa Nymbo Kupeleka kwenye Pc... Ila Zngekua Zle Ipod Shufle Mayb Maana Zle Unaweza Tumia Kama Storage Device Pia Ndo maana Zpo Mpaka Za Gb 500 ila Ipod nano na Touch Huez toa... Labda Kama Kuna Maujanja Ambayo Not Verry Officialy
 
Back
Top Bottom