I phone 6s inajizima yenyewe

CHIBA One

JF-Expert Member
Nov 16, 2018
560
2,087
Wakuu nna tatzo na simu yangu, nna hyo simu mfano nikipigiwa unashangaa imejizima ghafla, halafu inajiwasha, na hata ukiplay music unashangaa ghafla imezima yenyewe ikiwaka inachange level ya betri unakuta inaandika asilimia 1 au 90 mara 70 na unakuta labda ilikuwa kwenye 85%
Shida nini hapo?
 
Pole sana. Subiri povu la Tekino.

Ngoja waje wataalamu zaidi
Wakuu nna tatzo na simu yangu, nna hyo simu mfano nikipigiwa unashangaa imejizima ghafla, halafu inajiwasha, na hata ukiplay music unashangaa ghafla imezima yenyewe ikiwaka inachange level ya betri unakuta inaandika asilimia 1 au 90 mara 70 na unakuta labda ilikuwa kwenye 85%
Shida nini hapo?
 
iphone 6 tatizo la 1% baada yawasha na kuwa na tabia ya kuzima linatokana na matatizo ya ic inayojulikana kama u1401 ic hivyo sijajua kwa dar au kokote tz kama kuna mtu anafanya hiyo ingawa ni nyepesi kubadili au ku reboiling hiyo ic nikimaliza mafunzo yangu nakusudia kuanza kufanya mambo hayo dar so tafuta fundi. sio battery utamaliza pesa bure
 
Duuh mi nashangaa mkuu maana betri nilinunua mpya.. Hebu nielezee hapo naweza kusaidikaje..
 
iphone 6 tatizo la 1% baada yawasha na kuwa na tabia ya kuzima linatokana na matatizo ya ic inayojulikana kama u1401 ic hivyo sijajua kwa dar au kokote tz kama kuna mtu anafanya hiyo ingawa ni nyepesi kubadili au ku reboiling hiyo ic nikimaliza mafunzo yangu nakusudia kuanza kufanya mambo hayo dar so tafuta fundi. sio battery utamaliza pesa bure
Na hilo tatizo husababishwa na nini?
 
kwa iPhone 6s inatumia u2300 na sio u1401 ic hii ni ya iphone 6 na 6 plus
sababu hiyo ni charging control ic and voltage meters tatizo usababiswa na over voltage na mambo yote ya kudondoka nk

Nafanyaje ili kufix tatizo mkuu?
 
tafuta fundi aliyebobea anayelijua tatizo A to Z itakuwa ni wachache sana kama wapo vinginevyo simu itakuwa marehemu .simu zingine zinafia kwa mafundi not qualified in such a problem

kwani hiyo sehemu haiwezi kubadilishwa kutoka kwenye spare?
 
Wakuu nna tatzo na simu yangu, nna hyo simu mfano nikipigiwa unashangaa imejizima ghafla, halafu inajiwasha, na hata ukiplay music unashangaa ghafla imezima yenyewe ikiwaka inachange level ya betri unakuta inaandika asilimia 1 au 90 mara 70 na unakuta labda ilikuwa kwenye 85%
Shida nini hapo?
Sijawai tumia iPhone ila kwa utafiti niliofanya ukiona iphone inajizima inajaa haraka kuliko kawaida alafu pia charge inaisha haraka au ku heat.its time to change your battery hapo battery lakubadilisha
 
Back
Top Bottom