Kwa ajili ya kazi ganiWould you know specifications of such a laptop napata for how much?
HP celeron 1.6ghz,4gbram,500harddisk, 15.6 screen, webcam, wifi, bluetooth
Sent using Jamii Forums mobile app
HIyo processor ni weak sana kwa kazi kama za graphics unless wataka kuitumia kwa ajili ya kusurf na kuchapa chapa kazi
Kwa specifications hizo unaweza kujua Bei yake bossHIyo processor ni weak sana kwa kazi kama za graphics unless wataka kuitumia kwa ajili ya kusurf na kuchapa chapa kazi
mpya sitegemei 350
Hiyo haizidi laki 5 kamili, kwa ambayo ni mpyaWould you know specifications of such a laptop napata for how much?
HP celeron 1.6ghz,4gbram,500harddisk, 15.6 screen, webcam, wifi, bluetooth
Sent using Jamii Forums mobile app
Laki 5 kwa celeron za braswell, ila kwa apollo lake ama gemini lake inaweza fika hadi laki 7.Would you know specifications of such a laptop napata for how much?
HP celeron 1.6ghz,4gbram,500harddisk, 15.6 screen, webcam, wifi, bluetooth
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks bossLaki 5 kwa celeron za braswell, ila kwa apollo lake ama gemini lake inaweza fika hadi laki 7.