Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,352 Reaction score 111,627 Jan 10, 2013 #21 Jihesabie tu kuwa ni fungu la kukosa, maana Baba V ambaye ni mhusika wa kuunganisha nyeti hasi na chanya, kalazwa wodi ya BAN ya JF Hospital. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Jihesabie tu kuwa ni fungu la kukosa, maana Baba V ambaye ni mhusika wa kuunganisha nyeti hasi na chanya, kalazwa wodi ya BAN ya JF Hospital.
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Jan 10, 2013 #22 Mabigi! Umepewa lifti unataka kupiga honi? BADILI TABIA said: Invisible ni kidumu changu.... hakuna nafasi hapo Click to expand... Hivi wewe ukipewa kweli utakataa? Manake nna hesabu ya kukuonjesha (Paw akienda kuupdate server iliyopo cambodia) Erickb52 said: kapistrano mwambie achague tu ila asitake kiukweli lol hawakawii Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mabigi! Umepewa lifti unataka kupiga honi? BADILI TABIA said: Invisible ni kidumu changu.... hakuna nafasi hapo Click to expand... Hivi wewe ukipewa kweli utakataa? Manake nna hesabu ya kukuonjesha (Paw akienda kuupdate server iliyopo cambodia) Erickb52 said: kapistrano mwambie achague tu ila asitake kiukweli lol hawakawii Click to expand...
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Jan 10, 2013 #23 BADILI TABIA said: ushakaguliwa wewe???? Click to expand... mkaguzi hajafika anaitwa charminglady
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Jan 10, 2013 #24 Kipipi said: oldd vampire??? Dah . . . .siku zote mi najuaga we dume! (samahani lakini) Click to expand... usiamini sana Kipipi ita mkaguzi wa jeans ya kwanza. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kipipi said: oldd vampire??? Dah . . . .siku zote mi najuaga we dume! (samahani lakini) Click to expand... usiamini sana Kipipi ita mkaguzi wa jeans ya kwanza.
Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,033 Jan 10, 2013 #25 mh! Nasema hivwi sitaki.. Watu msaidie kutafuta watu8 said: Hahaha kaka naona wakimbia sio....vampire anataka ndoa!!! Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mh! Nasema hivwi sitaki.. Watu msaidie kutafuta watu8 said: Hahaha kaka naona wakimbia sio....vampire anataka ndoa!!! Click to expand...