Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,599
- 1,422
[emoji23][emoji23]wenye umbo namba nane wote tumeolewa na wengine tuna mabwana zetu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwasemee wenzako tafadhali waache waende kwenye interview na figa zao wakajitwalie bwana.wenye umbo namba nane wote tumeolewa na wengine tuna mabwana zetu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo iddy watu imewachanganya sana maana ni mwendo wa kutafuta mkeVigezo na masharti kuzingatiwa.
Hahahahaa,.wameona umuhimu buana ukiangalia kwa jirani kuna fuka moshi full harufu tam tam,.kwako hata mafiga hayajulikani yalipo..mwe,..lazima utamani kuoa..Leo iddy watu imewachanganya sana maana ni mwendo wa kutafuta mke
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wali na waoaji utakuwa unawafunda au wanajifunda wenyewe?Nafikiria kufungua kampuni ya MATCHMAKING, niwe Matchmaker.
Nitatoa 5years Guarantee or Money Back.
Hapana sifundi ....nakutafutia wakuendana naye...mengine ya chumbani mkajifunze kwingine...Hao wali na waoaji utakuwa unawafunda au wanajifunda wenyewe?
Utapiga hasara hatari... ukiuza wapenzi 10 tano wataachana kabla miaka yako mitano haijakwisha.Hapana sifundi ....nakutafutia wakuendana naye...mengine ya chumbani mkajifunze kwingine...
Simpaka ....nitasikiliza kwanza sababu zilizowafanya mkaachana...Utapiga hasara hatari... ukiuza wapenzi 10 tano wataachana kabla miaka yako mitano haijakwisha.
utanitafutia mwingine au unanirefund?
Unaringaa sana ndio tatizo wala sikutakii heri eti unataka warefu sio wafupi hutaki mwanamke tegemezi unataka mwenye kazi yake nzuri so unataka utunzwe sindio hiyo ndio dalili eti hutaki mwanamke mwembamba unataka umbo namba nane na ujue hao wanatunzwa sio wanaumbo namba nane kihivi tu.Habari wana mmu! mimi nikijana wa miaka 29 ifikapo 29 october mwaka huu. Nina elimu ya chuo kikuu nimehitimu mwaka 2017. na sasa nipo katika mchakato wa kuongeza elimu yangu katika fani tofauti, yaani degree nyingine kwa njia ya masafa katika chuo kimoja kipo QATAR. bado sijaajiliwa!
Natafuta mpenzi mwenye kuanzia miaka 29 mapaka 35, asiwe tegemezi akiwa na kazi yake vizuri sana kwa kuwa ni yake sio yangu!
Asiwe mfupi awe mrefu kiasi au zaidi poa tu mimi nina urefu wa futi 5 na nchi 7. rangi maji ya kunde nina mwili wa mazoezi ila kwa appearance unaweza kusema nina miaka 25 au hata 22. naonekana kitoto hivi kama.
Asiwe mweusi, awe na namba 8 kwa sababu sina hisia na wanawake wembamba ndugu zangu ukweli muhimu tu au kwa lugha rahisi kwa mfano uwe kama wema tu. Ukiwa muislamu vizuri zaidi kama ni mristo uwe tayari kubadili dini wakati wa kufunga ndoa. Usiwe na mtoto. Am just serious ukweli na uwazi ni muhimu tu. mimi sina mtoto hata wakusingiziwa. kwa sasas nipo tarime, mara. ni pm tuyajenge kama upo serious kwa mahusiano ya endelevu. unaweza tumia email pia: nachubai1997@gmail.com
Aseeh.. Itabidi uniajiri.Simpaka ....nitasikiliza kwanza sababu zilizowafanya mkaachana...
Naongelea Ndoa, na sio mahusiano.
Taratibu wewe.Unaringaa sana ndio tatizo wala sikutakii heri eti unataka warefu sio wafupi hutaki mwanamke tegemezi unataka mwenye kazi yake nzuri so unataka utunzwe sindio hiyo ndio dalili eti hutaki mwanamke mwembamba unataka umbo namba nane na ujue hao wanatunzwa sio wanaumbo namba nane kihivi tu.
Au ndio unawataka ili wanaotunza hiyo migodi uhemee dhubutu???
Karibu, tutengeneze Doo ya pensionAseeh.. Itabidi uniajiri.
Niliona Ebru TV wanakipindi cha perfect match..kama kwa wakenya imewezekana hata hapa kwetu utaweza.
Kuna huyu founder wa Match.com jina limenitoka... naskia aliibiwa mpenzi na rafiki yake waliyekutana match.com.Karibu, tutengeneze Doo ya pension
Una wasiwasi tutaibana, siwezi kukuiba...Strictly Business hapa.Kuna huyu founder wa Match.com jina limenitoka... naskia aliibiwa mpenzi na rafiki yake waliyekutana match.com.