I need a girl /Nahitaji msichana

Dulla Same

Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
40
Reaction score
13
Naitwa Dulla Same, nina umri wa miaka 21, kabila langu ni mmakonde (Konde Boy)
Natafuta msichana ambaye nitaanza naye mahusiano ya kimapenzi.
SIFA:
1. Awe anajiamini/kujikubal kwamba ye ni mzuri
2. Awe mweusi, maji ya kunde au mweupe
3. Awe na umri chini ya miaka 22 na 22 yenyewe
4. Kabila lolote
5. Elimu yoyote

Kwa Mawasiliano zaidi:
Facebook Dulla Same
WhatsApp /SMS /Call +255717675101
 
Description hizo kama unatafuta mfanyakazi wa ndani.

Kama unatafuta kweli mpenzi usichague wala usibague, na utakaempata umpende na umvumilie mapungufu yake yote aliokua nayo.
 
Dah....mtoto wa kimakonde....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…