Miaka 28 unahitaji boyfriend tena above 28 , sidhani kama kuna mvulana Wa miaka 29 kwa tafsiri yangu ya kiingireza cha kuunga unga kwa maana boy= mvulana, we sema unatafuta hawara watu tukuelewe, maana hao 28 and above are already married and if not are in serious relationship....