R rajoh Senior Member Joined Jun 2, 2011 Posts 174 Reaction score 142 Dec 3, 2012 #1 Wadau nina gari aina ya Renault. Natafuta engine ya Gari ndogo aina ya Toyota yenye cc around 1500. Mafundi wameniambia inawezekana kufanya modification na kuiweka gari katika hali ya kawaida. Tafadhali mwenye nayo ani PM.
Wadau nina gari aina ya Renault. Natafuta engine ya Gari ndogo aina ya Toyota yenye cc around 1500. Mafundi wameniambia inawezekana kufanya modification na kuiweka gari katika hali ya kawaida. Tafadhali mwenye nayo ani PM.
J julisa JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 209 Reaction score 50 Dec 3, 2012 #2 Nenda maeneo ya ilala karibu na machinga complex kuna maduka kibao..
Albedo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 5,558 Reaction score 1,462 Dec 3, 2012 #3 Nenda Maeneo ya Gerezani Utapata za Wizi Kibao Pesa yako tu
R rajoh Senior Member Joined Jun 2, 2011 Posts 174 Reaction score 142 Dec 3, 2012 Thread starter #4 Asanteni wakuu! Nitajongea hapo. . .