Unampa mlevi kutafiti hasara ya ulevi ukitegemea majibu gani? Hakimu anao ubavu wa kujihukumu kunyongwa hadi kufa? Kitu chochote ukikitumia kupita kiasi tegemea hasara zaidi kuliko faida. Hata ugali ukizidisha utaanza kubeua, ukifanya au kufanyiwa sana kupita kiasi cha hamu utaugua tu!
Pombe ina faida nyingi sana! Si unaona wanasayansi walivyomwaga data?
Mhhhh jamani mbona mnakomalia watafiti!