Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,483
- 20,045
Jamani huwa unakutana na wasichana wa aina ganiA
Come down I will explain to u every thing about it then from now onwards u will like every man to call u dem!! Together!!?
Hadi nakosa category yao labda niwaite 'wajasiriapenzi' [emoji3]
Nio maana huwa neno langu ni moja tu lililo nyooka, 'na hamu na wewe' nimefunga mjadala akubali au akatae poa tu narudi nyumbani.
Don't hate word,hate the one calling u thought.Naaaa I hate that word
Hahahah bora lakini kama unawaambia ukweli
Am calling u!!!!!!Nadiegir(lie)eeeeeee!!!!???
Am calling u!!!!!!
Am calling u!!!!!!
Lugha ya Kiingereza iko "romantic" sana kuliko hichi "kimatumbi" chetu ambacho kwenye mahusiano hakina mvuto sana. Kwa mfano ukisema; "I am truly madly deeply in love with you baby". Sasa hebu jaribu kuiweka hiyo Sentensi kwa Kiswahili uone ni Lugha ipi ina mvuto. Au wakati wa kile kitendo mtu akisema "oh my god" na akisema "oh mungu wangu" ipi ina sound more romantic???
Haya, USO wa nadie nakupenda nadiegirlie
HuhuuuSay to my face
Saanaa you girlUnaweza kumwangalia usoni na kumwambia nakupenda
Ni ngumu kumwambia mtu NAKUPENDA kama huna hisia nae, ila ni rahisi sana kusema I LOVE YOUMi naona boys wa siku hizi neno nakupenda limekuwa gumu kutoka mdomoni kwao yaani ni I love you.......I love you boys why?girls una prefer lipi