I Love Everyonen(Eid Mubarak)

EID NA VICHUPI? Boflo mbona kutukuzwa hivyo!
 
Last edited by a moderator:
Get serious na ondoa upuuzi huu what has this pics got to do with Eid.....If u want to wishus muslims Eid then do it with dignity or at least have some manners when u do it!i don't mean to offend any1 but dats the truth
 
Utakuwa mwanaharakati mwenye siasa za hasirakali.....pole mkuu usijitoe mhanga
 
Utakuwa mwanaharakati mwenye siasa za hasirakali.....pole mkuu usijitoe mhanga

Acheni chuki ndugu zangu, heshimuni imani za watu, tukikasirika na kuchukua hatua mnaanza kulalama
 
Hiyo itakuwa ni akili yako mimi ni muislam wa kawaida tu na nimependa nikuambie kwamba post yako haina usawa wa aina yoyote na picha ulioweka,kama huna utashi wa kutofautisha mambo sema tukusaidie na sio kurukia suala la mwanaharakati!acha ufedhuli ***** wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…