Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 97
- Thread starter
-
- #21
Bado she needs to work on it kwa kweli, maana sauti ninayoifahamu sio, I bet kama anaweza kupanda kwenye ule wimbo wa "I will always love you" on the same key kama original. Nimenote nyingi sasa hivi wanashusha key zake ili aweze kufika...
baby ukizungumzia sauti yako hapa......tutakesha manake I never get tired of it...
Vipi mkuu?hapa tunaenda kwa dataz tu..LOL
soft voice sometime watu hurithi kutoka kwa wazazi..
hahahahahahahah!....you are crazy you know...umenifanya nicheke sana tuu...and still laughing mpaka sasa....
oh yes miye nimerithi kwa my mom!...she sings kanisani though.....hadi leo hii....suati yake inamtoa nyoka pangoni...
yeah sema ndiyo hivyo a lot of her note zipo chini kama navyosema may be kutokana na age...si unajua sauti zinakwenda zinabadilika kutokana na unavyozidi kukua mkubwa?....weeeh ule "I will always love you"...jamani that was the song...nilijaribu siku moja na miye kuimba namna ile nusu nipaliwe hahahahaha!....
I know honey!...you always sifia my voice hadi bichw alangu limeshakuwa kubwa sasa mmh!......
I am just saying the obvious honey.....😛
that is very true honey...alafu this song i look to you.....nimeusikiliza over and over hadi ukanitoa chozi maana umenikumbusha somthing....ooh all is well....
mwanamke akilia baada ya kusikiliza nyimbo au kutazama movie,,,
thats very sexy......
My ex gf alikuwa ndio zake .....analia halafu nambembeleza.....mhhhh......acha kabisa....
Mkuu nimeipenda hii...na asipolia ndo inakuwa kinyume chake?
Mkuu nimeipenda hii...na asipolia ndo inakuwa kinyume chake?
....Mkuu, YeYo si-mchezo!! unajua hata Robbie Williams alikuwa 'anajisafisha' live kule kwa Simon Cowell(X Factor 2009),sauti ilikuwa ya ajabuX2 kweli!!....ngoja kesho tuone naye mama bobby itakuwajeLakini sauti yake umeionaje ukilinganisha na miaka ya 90? naona kama ipo kinamna quality yake sio ki viile...
It sounds like you are her distributor!!Omg!....this Cd album ya Whitney Houston is banging yaani i am loving it..Finally WH is back though she has never left (nimemiss sana huyu mwana mama ni anajua sana kuimba na bado yuko gado....ana sauti kama kasuku dang)....kama hujanunua nakushauri kama ww ni mtu wa R&B like me go get it...it does worthy alafu bei poa kabisa aisee!......11 songs from beggining to the end huchoki kusikiliza wala forward....
My favorite songs
I look to you
Salute
Nothing But Love
Like i never left fet Akon.....
dang naona i like them all!.....
go check it out.....borders unapata for only $11.00
Kelly1 naomba unitumie kama zawadi shost ,,nitakukumbuka daima 🙂