I like this!!

Kiongozi huyu mambo yake yakawaida sana Mungu amlinde na kumuongezea hekima katika utendaji wake wa majukumu yake ya kiroho.
 
we waache haongei huyo.anaweza kufanya mambo yake dakika yoyote ile............
 
Kwa hiyo huyo mwanakondoo anaweza kumwaga kojo wakti wowote sio!!!

Du umefikilia mabali sana aisee ha!ha!ha! umesababisha hata kutaka nikibadili kichwa cha habari...
 
wanachunga kondoo na wanawala WENYEWE.
ubaya wanawala kondoo wasio stahiki kuliwa tena mbaya zaidi wanawala wakiwa bado wadogo hawajitambui.

http://abcnews.go.com/topics/news/pope-sexual-abuse-scandal.htm

http://en.m.wikipedia.org/wiki/Catholic_sex_abuse_cases
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…