Mimi ni mwanasiasa mzuri....kumbukumbu kama hizi lazima niwe nazo!!Duh!
Uliipata wapi?
Mimi ni mwanasiasa mzuri....kumbukumbu kama hizi lazima niwe nazo!!
Mimi ni mwanasiasa mzuri....kumbukumbu kama hizi lazima niwe nazo!!
Hapa anatafuta sehemu yenye minofu nofu anaruka ubwabwa
Avatar hapa inaingiaje? Bora tu uifuate!!Uzuri uutoe wapi wewe mbona avatar yako imeeleza kila kitu jinsi ulivyo?! it is better nifuate signature yako inavyosema.
Hahahah....Akili haichi Asili.
yupo katikati ya mabinti!!!.....anatafuta nini huyyu!bora apate analolitaka
Ukiona hivyo ujue anakubalika....na chama chake kinakubalika!!yupo katikati ya mabinti!!!.....anatafuta nini huyyu!
MO hapo amevaa tasbihi au rozali!