Kha wewe ni Mwanamke au mwanaume? Embu soma signature yangu haraka.. Huyo Mumeo anawaendea wanawake kama wewe, embu waheshimu wanawake wenzako bwana. Unajua wanawake mlioolewa mnajiona malaika saana na kuwaona wengine kama nyani vile, vikatuni flani vile.. Mwanamke Gani wewe usiyejiuliza? kama mume wako angekuwa anawafukuzia wanaume wenzake (chakla) hapo tungesema mengine, lakini Mumeo anawafuata wanawake.. Wanawake kama wewe.. Ebo! sasa kwanini usijiulize mumeo anakosa nini kwako kulikoni kulaumu na kumuona yeye nyoka all the time. angekuwa kweli nyoka hao unaowaita wanawake wangemkimbiliaje? Embu jichunguze, Jiangalie mapungufu yako, fanya personal Introspect sio kila siku mwenzio ndiye mkosaji, wewe hukosei?. Isitoshe huenda una mdomo sana.. all days mumeo akija unamwimbishia mdomoooo mpaka ajajifill infirior kaka wa watu..unajua tena naelimu yake kimeo.. anaona kama unamnyanyasa Flan. HUNA UTII.. Huna Utii wala UTU wewe.. Mods niacheni nimmiminie Huyu vyake asipoambiwa ukweli kesho idadi ya watoto wa mitaani itaongezeka. . wako wengi sana kama hawa.. Wakishaolewa hujifanya malaika weupe..Miaka 32, wewe bado katoto kadogo, kinda kabisa hata hujui mlango wa nyege.. Wako wengi sana waliokuwa kama wewe, wengi mno, na mwisho wao ulikuwa mbaya sana. sijaona aliyefanikiwa hata mmoja. Leo unauchungu saana kwa hilo, basi ngoja, hata miezi haiishi atatokea mtu, atauzuuza moyo wako, tena wanaume wanavyopenda wanawake walioachika kama loose ball zao, wanandimi hao, hata uweje huwezi kuwakwepa mama, watakuchotelea vibaya wakuachie miukimwi, wewe na mumeo wote mtaondoka mtatuchia mayatima watoto wenu. Embu acha fikra za kishetwani. Mapito ni sehemu ya maisha. pata Ushauri sahihi, Rudi kwa mumeo kabla mguu wake wa tatu hajazidi kuusambaza zaidi. Ukichelewa utaambulia matunda yake..