I hate...I hate whoever does this

I hate...I hate whoever does this

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,661
Reaction score
9,966
Shostitoooosss/swadataaaa

Mie sipendelei utumiaji wa simu/kamera baada baada ya kuingia kwenye kona 4..kiuhalisia kuridhiana kwenda ktk chumba na kuanza kuchojoana nguo ni jambo la kuthaminiana. Unakuta mshabiringishanaa biringishanaa huku na kule chokest mbayamnapumzika mwenzio anaamua kukupiga picha ukiwa bila.......,

Kuanza tuanzane kwa maneno matamu (stht, baby, habuba, la azizi,my heart beats, my blood, everything)..haya maneno ni ya kejeli

Kuishia tuishie na matusi na kutupa picha za uchi mitandaoni

Unanikomooa lakini mwosha huoshwaaa.

Moyo wa unayelala/mvulia nguo nae ni kiza kineneeee


Hebu tuwe na ka utu


kuweka/kutumia picha ya mtu lazima awe ameridhia (vinginevyo akihamua kukushitaki/kutumia sheria utaishia segerea)

mwale wenye vibamia poleni
 
Mie guest nipo na mpenzi tunapoanza kuchojoa tu namwambiaa nipe cm zote naweka mchagoni hapo tundi linaendelea hawezi namii siwezi hakuna kuaminiana sikuhizi.
 
Kwani unamaanisha nini? Mbona mie sikupati? Try to be open to allow us to catch your point.
 
Yaani mawazo ya 'wamatumbi' yamejikita kwenye kugegedana tuuu nyambafff kabisaaa....***###@@@---++++......
 
Kuna siku nilishangaa dume moja p u mbavu lilimpiga mkewe picha wakiwa wana do japo hakumuonesha uso lakini maumbile ya mkewe aliyaonesha nilisikitika sana. Mke au mume wako ni wa thamani kwako sasa waonesha wengine ili iwe vp. Wakimtafuta?
Ndoa za dot.com hizi tutaona mengi
 
Back
Top Bottom