I dont want it

Pole sana na hongera kujifungua mtoto(kama ni kweli),
Vipi huwezo wa kumlea mtoto huna?

Asante na ni mtoto kweli siwezi danganya.Uwezo ninao kwa sasa ila kwa siku zijazo sidhani kama nitaweza itabidi nitegemee ndugu hadi nitakapopata kazi tena.
 
Hongera kwa kupata mtoto, jipange mwenyewe tu kulea huna la kufanya,utu au mapenzi hayalazimishwi,ila na wewe best yetu una makosa sababu miezi tisa si mchezo usimwambie mtu kweli na hali ukijua swala la mimba linahusisha watu wawili!! kwa kweli ana haki ya kukataa si rahisi mtu kukubali,kwanini umfiche ulikuwa na nini nyuma ya pazia?
 
Jana saa tatu na robo asubuhi.

Relaaax!
You need to relaax!
Ni ngumu Lakini lazima urelax!
Unakaa na mtu nyumbani?
Unafanya kazi?
Unaweza kumudu kulea Huyo mtoto!
Kwa sasa relax!
Unahitani utulivu wa mwili na akili kuliko unavyofikiri!
Binti yako anakuhitaji
Na Anakupenda sana!
Just look at her utaona alivyo such a blessing!
Yees she is a blessing!
Mkumbatie akunyanyue ulipogota na utayatazama maisha upya!
 
Sijui nikushauri vipi!!!!
Nakuonea huruma sana..niruhusu niongee na wewe kama dada zange wa humu snowhite, Kongosho, Cyan6, BADILI TABIA na wengine hawa wakinikera huwa siwabakizi!!!!!!!

Lakini dada we mjjinga kidogo eeenh????!!! Hivi mimba una uhakika ya mtu mzima mwenzio hukumwambia sababu gani eti????!!!!

Kama kuna habari mwanaume anaitaka kwa haraka na mapema ni mimba hata za ndoa tena ile siku tu ya matarajio mtu nataka niambiwe kabla sio unichukue kama nimekosea basi NO!!!! Itakuwa hamjaoana nyie????!!!!

Sasa madhali umelikoroga tukae kama familia sasa!!!!
Unaweza kumtunza mtoto mwenyewe???!!!
Kwenu wakijua hawawezi kukutupa kila kwenye shida watakupa msaada!!!!

Sasa kubali maisha yako achana na ndoto kaza tumbo lea mwanao, akija poa asipokuja tunza utu na heshima yako na familia yako! !!!!!!

Wanaume wengine ni saddists kila unavyolia yeye ndio sperm production inazidi na kupata nguvu ya kuchepuka!!!!!

Ila usirudie huu uffala tena!!!!!

You the sister we love you still!!!!!
 
Last edited by a moderator:
lakini ulikosea kutomwambia mapema, sasa uliogopa utamtisha kumwambia una ujauzito lakini ulidhani ukimwambia umejifungua ndo hatatishika?

pengine hana nia mbaya kama unavyofikiria lakini anafanya hivyo ili ugundue kosa lako, anaona asipofanya hivyo siku nyingine utarudia makosa hayo hayo kwenye mambo mengine. mpe muda kama ni kweli umejifungua jana sasa hivi jali zaidi mwanao kuchanganyikiwa hakutasaidia lolote
 
Mama mtoto!
Mistake ilishafanyika!
But mtoto wako is never a mistake!
Kuwa baba na mama kwa Huyo binti unaweza ukiamua!
Bado Lakin maswali niliyokuuliza yanahitaji majibu ili tujue tuna deal na tatizo kwa position ipi!
Alikua mpenzi.Ila nawaza labda nilikua mchepuko wake.
 
Unashangaa nini?

Hata mimi nashangaa! Ajifungue jana tarehe 2 Julai, hatujui saa ngapi; ajiunge na JF juzi tarehe 1 Julai, leo 3 Julai aanze kuandika na kulalamika humu JF??? Khaaa!!!!

Kama haitoshi, mimba miezi tisa ilikuwa haionyeshi positive... eti kila akipima negative.... tumbo nalo???? Baba wa mtoto hakujua hakutaka kumtisha.....!!!! du!!!! jamani loooo utunzi mwingine!
 

Nilichonacho ndicho kinakuhangaisha!
Usilazimishe mazoea !
Umeshauri nini toka umeiona hii post badala ya kukomaa kuquote nilichoandika?
Mxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxiou sura kama nyuma ya sufuria!.
Nipishe Mimi!
 
Hiyo inatokea kama mlikuwa hamjawekana sawa kuhusu kupata mtoto. Ni reaction ya kawaida kwa mwanaume ambaye, pamoja na kula tunda lakini bado kwa sababu fulani ikiwa ni pamoja na uoga wa kulea, anakataa matokeo.

Take heart, ni suala la muda atarudi kwenye akili yake ya kawaida akitulia na kupata mawili matatu kwa marafiki au jamaa zake na atamhudumia mtoto. Ni muda gani? hilo linategemea na mtu mwenyewe lakini nina uhakika atarudi tu kumlea mwanae.

Wote wawili, wewe na yeye mna makosa katika hili. Kwa sasa dada kuwa mpole maadam taarifa anayo, endelea na maisha kama kawaida. Tabu utapata lakini ndio matokeo ya makosa yenu. Usikubali ushauri wa mashosti wengine watakulostisha. Na kama una uhakika siku hizi kuna DNA - kiboko yao. Pumba kule, mchele huku!
 

Nilikua naishi kwangu ila imenibidi nilirudi kwa wazazi wangu mimba ilipofika miezi tisa kwa sasa niko kwetu.She is so cute yani nikimuangalia nikiwaza hana baba naumia sana.
 

Mpaka tukutane vikao vya familia????!!!
 
Asante na ni mtoto kweli siwezi danganya.Uwezo ninao kwa sasa ila kwa siku zijazo sidhani kama nitaweza itabidi nitegemee ndugu hadi nitakapopata kazi tena.

Mwambie akapime DNA ili awe na uhakika. Kama atabisha na maadam anajifanya hakuelewa matokeo km vile hakuzaliwa duniani wewe mwaga mboga. Masuala ya TGNP, TAMWA, ustawi wa jamii na kama anafanya kazi usawa wa wakuu wake au kama ni mshirika wa makampuni basi huko kwa mameneja wenzake kutaeleweka, wazazi wake pia usiwaache. Mwaga mboga hadi mchuzi ili akoswe pa kuchovya.
 
jikande maji kwanza ukipona urudi.
Mbona wakati mnaduu ulikumbuka kwamba anatakiwa amwage nje?why alipomwaga ndani hukumwambia?
 

mimi nitakuwa baba yake wa hiyari njoo tumtunze binti yetu
NAJUA NITAKAVYOJILIPA KWA MATUNZO YA HUYO MTOTO MAANA NAJUA MIMI NITAKUWA BABA NA WEWE MAMA KWAHIYO WEWE UTAKUWA MKE WANGU BILA SHAKA KUNA KITU NITANUFAIKA NACHO
 
Pole huggies...mzazi mwenzio ndo ashakukataa Hivyo...jipange Kumlea mwanao,utaweza tu
 
Last edited by a moderator:

Unafikr huyo kiazi alikuwa anajibu nilichoandika!?
Yeye huwa akiona jina snowhite anahaha kama katembelewa na siafu ukweni!
Msamehe bure!
 
Kwa hiyo hapo kwako kuka choo ndan na nje?...jamaa anakojoa nje ww unakojoa ndan?
 
Wanajirudigi kweli?
 
Nilikua naishi kwangu ila imenibidi nilirudi kwa wazazi wangu mimba ilipofika miezi tisa kwa sasa niko kwetu.She is so cute yani nikimuangalia nikiwaza hana baba naumia sana.
C'mon
She has a mother!
Acha kuyatazama maisha kwa kile usichonacho!
Tumia ulichonacho kufanya maisha yako yawe vile ulitamani yawe!
Kwanza umesharudi home?
Umepata maji ya moto?
Thupu?
Relaaaaax !
Usilie huku unamwangalia huyo Cuttie!
Kwanza unalia ili iweje?
Jikamatie mwanao mpe hoteli yake unamwangalia!.
Hakuna moment nzur kama hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…