and your ready to mingle
yeah yeah! olryt
and your ready to mingle
Maliza basi chuo upate muda mzuri wa kutafuta kazi na mapenzi ,usije changanywa ukala ada ya kumalizia chuo dogo sababu unaonekana bado ummgeni kwa wanawake
Hi everyone
I am 23 years old male and I really need a girl to be in a love relationship with. I spend most of my time studying and developing software systems. I am a 3rd year university student.
I believe that love happens naturally and not by force.
Am just tired of living alone.(I am so lonely)
I just need to be in a love relationship.
In our college there are very few girls (Ratio of boys to girls is 10:1)
I tried to go out of the college but the formed relationships didn't work out reasons include a girl is cheating (had relationship with somebody else but tried to hide from me but eventually truth comes out)
So what should I do?
Sasa mkuu nakupa njia ambayo ni nzuri na yenye manufaa kwako!!!In our college there are very few girls (Ratio of boys to girls is 10:1)
Sasa mkuu nakupa njia ambayo ni nzuri na yenye manufaa kwako!!!
Kwenye hiyo ratio sasa, ufanye hivi, hakikisha semister hii unapiga kitabu kwa nguvu zote piga gpa kali say 4.6 au zaidi!! hapo lazima utakuwa famous na huyo msichana lazima akutafute wewe either rum au discussion!!! ukifanikiwa hili kwanza utapata demu/mke pili gpa itapanda!!! sasa uamuzi ni wako na uamue sasa!!!
oohw my lil bro, soma kwanza hayo mengine yatakuja tu.
for ur age hasa ukizingatia ni wa kiume you have a long way to go to find your better half.
stay calm, with the right time automatically you will know what to do.
Nimekimbilia kufungua uzi nikijua kabinti,ila nakushauri endelea kuwepo wepo kwanza.
lets say I am 23, I have houses, successfully businesses, I have a lot of money to make me travel anywhere in the world or buy anything that I want in this world. etc. In general I am a very WEALTHY person.
Should I still be single?