Lugha yetu pendwa yatosha sio kutuongelea kingereza hadi wachapia.(Wambie mod wakurekebishie)
Kinachofanyika ni watu mzoee Tbc mana hamna uzalendo(hamuipendi) kama mkurugenzi wake alivyodai. So swala la kuwa na hela siyo tija mwatakiwa muangalie Tbc muizoee,na muone inavyomsifia malaika mkuu jiwe.