Mazao ya 'Mulugo' hayooooo yameanza kuonekana mchana kweupe...Wenyewe wanajifariji kiana kwa kuwaita hawa ni Division five (5) ati. 🙂 teh!
Kwa uzao wa kizazi hiki inabidi tuliombee taifa kwa hili janga la elimu kwani kwa elimu hii kizazi kitabakia kikilalamika kila siku juu ya swala la kuzidiwa fursa za ajira na zinginezo na mataifa majirani kila kukicha.