K Kaguo_ New Member Joined Jul 14, 2020 Posts 2 Reaction score 9 Jul 18, 2020 #1 Habari wapendwa. Mimi ni mwanamke mkristo wa miaka 32. Nina mtoto mmoja. Ninajitokeza jukwaani kutafuta mume kwenye Nia ya kweli. Uwe Mkristo mwenye hofu ya Mungu Uwe na Umri kuanzia 35-49. Uwe na shughuli halali ya kuingiza kipato. Karibuni Pm iko wazi. Asanteni.
Habari wapendwa. Mimi ni mwanamke mkristo wa miaka 32. Nina mtoto mmoja. Ninajitokeza jukwaani kutafuta mume kwenye Nia ya kweli. Uwe Mkristo mwenye hofu ya Mungu Uwe na Umri kuanzia 35-49. Uwe na shughuli halali ya kuingiza kipato. Karibuni Pm iko wazi. Asanteni.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,430 Jul 18, 2020 #3 Nipoooo shughuli halali ninayo, nimeajiriwa kwa Mo Dewji, mshahara wangu ni laki na nusu, ila Kuna madili huwa napiga. Je, uko tayari kunidhamini nikiwekwa Ndani? Make sure baba yakk asijue Siri hii
Nipoooo shughuli halali ninayo, nimeajiriwa kwa Mo Dewji, mshahara wangu ni laki na nusu, ila Kuna madili huwa napiga. Je, uko tayari kunidhamini nikiwekwa Ndani? Make sure baba yakk asijue Siri hii
Hadrianus JF-Expert Member Joined Feb 19, 2020 Posts 2,112 Reaction score 5,268 Jul 18, 2020 #4 Vipi baba wa mtoto yupo?
Sax JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 4,122 Reaction score 7,656 Jul 18, 2020 #5 Aise..... Kila la kheri
Coolant JF-Expert Member Joined Apr 19, 2015 Posts 1,256 Reaction score 2,201 Jul 18, 2020 #6 Wanaojiita ma GT watakuja kukwambia kua kuoa single mother ni sawa na kununua kiwanja chenye mgogoro
Noswerd malila Senior Member Joined Jan 12, 2014 Posts 145 Reaction score 74 Jul 19, 2020 #7 Id yako ya zamani ni ip
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Jul 19, 2020 #8 Wewe ni financial services umeamua kuja na id mpyaaa
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,700 Reaction score 14,766 Jul 19, 2020 #9 ambao atuna shughuri halali atuna nafasi kumbe...!
Will Jr JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 5,077 Reaction score 7,420 Jul 19, 2020 #11 Bujibuji said: Nipoooo shughuli halali ninayo, nimeajiriwa kwa Mo Dewji, mshahara wangu ni laki na nusu, ila Kuna madili huwa napiga. Je, uko tayari kunidhamini nikiwekwa Ndani? Make sure baba yakk asijue Siri hii Click to expand...
Bujibuji said: Nipoooo shughuli halali ninayo, nimeajiriwa kwa Mo Dewji, mshahara wangu ni laki na nusu, ila Kuna madili huwa napiga. Je, uko tayari kunidhamini nikiwekwa Ndani? Make sure baba yakk asijue Siri hii Click to expand...
Huruma siyo malezi JF-Expert Member Joined Jul 18, 2020 Posts 2,032 Reaction score 4,394 Jul 23, 2020 #12 Njoo kwa huku tuyajenge jiandae kufurahi
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,312 Reaction score 109,388 Jul 23, 2020 #13 Kwenye huo umri Tunaongezea miaka 5, Wanawake mnakuaga waongo Sana kwenye suaala la umri
katib mkoa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,574 Reaction score 2,163 Jul 23, 2020 #14 vigezo nimekizi ila kaburi la baba mtoto lipo? kama yuko hai hapana kwakweli
Lillie Mie Member Joined Jul 2, 2020 Posts 97 Reaction score 176 Jul 26, 2020 #16 Miaka mitano jamani?Si wote waongo.
Gezuz JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 1,010 Reaction score 1,352 Jul 27, 2020 #17 Lily Mahaba said: Miaka mitano jamani?Si wote waongo. Click to expand... Jina lako zuri sana
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,139 Reaction score 43,362 Aug 2, 2020 #18 sumbai said: Wewe ni financial services umeamua kuja na id mpyaaa Click to expand... Mbona ni mkorofi sana wewe😀, acha hizo nenda pm umri wa kuoa umefika unazurura tuu
sumbai said: Wewe ni financial services umeamua kuja na id mpyaaa Click to expand... Mbona ni mkorofi sana wewe😀, acha hizo nenda pm umri wa kuoa umefika unazurura tuu
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Aug 2, 2020 #19 financial services said: Mbona ni mkorofi sana wewe, acha hizo nenda pm umri wa kuoa umefika unazurura tuu Click to expand... Naleta posa mama
financial services said: Mbona ni mkorofi sana wewe, acha hizo nenda pm umri wa kuoa umefika unazurura tuu Click to expand... Naleta posa mama
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,139 Reaction score 43,362 Aug 2, 2020 #20 sumbai said: Naleta posa mama Click to expand... Unaleta kwangu ama unapeleka kwa mleta uzi??