Mvuvi_papa Senior Member Joined Oct 25, 2012 Posts 142 Reaction score 67 Nov 1, 2017 #1 Wakuu nauliza nani anajua wapi naweza kupata hii machine ya kutengeneza matofali aina ya Hydra Form. Na ni bei gani?. Wasaalam. NB mwenye kujua wapi naweza kupata tukutane In box uniachie ujumbe mkuu. 🙂
Wakuu nauliza nani anajua wapi naweza kupata hii machine ya kutengeneza matofali aina ya Hydra Form. Na ni bei gani?. Wasaalam. NB mwenye kujua wapi naweza kupata tukutane In box uniachie ujumbe mkuu. 🙂
Mvuvi_papa Senior Member Joined Oct 25, 2012 Posts 142 Reaction score 67 Nov 1, 2017 Thread starter #2 Wakuu mbona kimya?. Hakuna anayeijua hii kitu?. Ni mashine ya kufyatua matofali ya kuumana.
Mvuvi_papa Senior Member Joined Oct 25, 2012 Posts 142 Reaction score 67 Nov 1, 2017 Thread starter #3 Mfano wake ni kama hii link www.youtube.com/watch?v=xhqKCfUbA1k#action=share
C charles mgina Member Joined Feb 16, 2016 Posts 35 Reaction score 18 Nov 1, 2017 #4 Nenda ubungo pale opposite na shekilangooo kule nyuma kuna makampuni ya kichina mengi sana wanauza machine za kufyatulia matofali kila aina pale na kila aina machine nyingine xa ujenz
Nenda ubungo pale opposite na shekilangooo kule nyuma kuna makampuni ya kichina mengi sana wanauza machine za kufyatulia matofali kila aina pale na kila aina machine nyingine xa ujenz
C Changamoto2015 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2012 Posts 773 Reaction score 316 Nov 1, 2017 #5 Wasiliana na Kikosi cha jeshi Nyumbu kibaha wana mashine automatic inatumia diesel inauzwa milioni Tisa na nusu.
Wasiliana na Kikosi cha jeshi Nyumbu kibaha wana mashine automatic inatumia diesel inauzwa milioni Tisa na nusu.