Huyu trafiki nini hapa??

mahesabu atakutoza faini wewe!!!!!!!!! picha ya siku nyingi sana
 
Wizi wazi wazi huyu namba ngapi ngoja tuizumu
 
Mwisho wa Rushwa ni JEHANAM! Hapo itakuwa Mwisho wa jeuri.............................world spoilers!
 
Mvue helmet tutakuambia ni nani.
 
Anachukua hatua zakuboresha maisha ktk ofisi yake!Siunajua maisha bora ndio sera ila ufanye kazi!Sasa yupo kzn hapo,unataka nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…