Mjini vituko wala visa haviishi, wewe ni mpenzi wangu wa muda mrefu tu kwenu nafahamika ndugu zako wengi tu nawafahamu, leo hii nimekukuta na huyu mjamaa unaniambia ni ndugu yako nikikubana sana unasema ni kakaako kule kijijini !kivipi?mbona nawafahamu kaka zako wote? ooh ni rafiki wa kakaangu ndio maana namimi namuita kaka
wengine watakumbia huyu ni binamu yangu,na ukishaambiwa ni binamu basi jua kwishney!!
Au unamchukua msichana wa kazi mshamba toka kijijini pacee unamleta mjini,baada ya miezi mitatu ya kuoga na kulakula na kupaka carollite kanaanza vituko, ukikakuta kamesimama na mtu kanakwambia ni ndugu yangu tunatoka kijiji kimoja, lakini huyo mtu wewe unamfahamu fika na hatoki huko ulikoambiwa.......
Jamani vitimbi haviishi mjini