Huyu ni mimi kabisa....πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Machingafx

Member
Joined
Sep 25, 2026
Posts
98
Reaction score
117
Nimejijenga kikamilifu kutoka kwenye mikono ya busara za mababu wa kale haikua rahisi maana ni masingi wa maisha
Na nimekua nikishudia maendeleo tofali kwa tofali.... mimi sio wa jana na naendelea ku develop kila leo πŸ™πŸ™
 
Hongera mkuu... Hizo busara za mababu wa kale umezipata kwa njia gani labda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…