Huyu ni mdudu gani?

Anaitwa chakubimbi,...Anapatikana Sana beach kidimbwi
 
Khilutofela ndio jina lake.
Nilivyomwona huyo mdudu nikamkumbuka mwenzake mdogo hivi anapatikana mtoni kwenye vinyungu yeye anatoa moshi na moto matakoni, ni kama spark inavyolipuka.
 
Huyo anaitwa utopolo, a.k.a Yanga ya wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…