Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,432
- 7,965
Huyu ni kobe ambaye aliendekeza mademu badala ya kujenga.
Huyu ni kobe ambaye aliendekeza mademu badala ya kujenga.
Muone! Hana nyumba wala sehemu ya kupumzikia π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chapter closedHuyu ni kobe ambaye aliendekeza mademu badala ya kujenga.
Muone! Hana nyumba wala sehemu ya kupumzikia [emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaitwa Yanga
Mods naomba huu uzi upelekwe jukwaa la sports
Ukipata jibu nistue mkuu kabla picha haijapelekwa jukwaa la michezo
Huyu mda si mrefu tunampeleka chato.