Huyu Ndiye Mohamed O. Mchengerwa

Hata kama una elimu na sifa kadha wa kadha lakini ile tu kushinda ubunge katika uchaguzi wa 2020 unaonekana takataka machoni pa watanzania na hayati jiwe ndio amesababisha haya
 
Ktk bunge hili la sasa juzi juzi tu alisimamaa kwenda kujibu swal la mbunhe bac bwana alipigiwa ile mikofi ya kibunge PAA PAA. PAA PAA akawasha mike bado wabunge wana piga tu makofi had spika akamwambia mhe embu zipokee kwanza izo pongezi

Nikajiuliza huyu jamaa mbona ana pigiwa makofi mengi mnoo as if kagundua kitu

Sasa majuzi nikasikia zaa kunyapia nyapia eti jamaa ni son in law wa mama

Nikasema ndio maana mikofi ilimwagika pale bungen
🤣🤣🤣 Ndo jamaa katoboa
 
Hata kama una elimu na sifa kadha wa kadha lakini ile tu kushinda ubunge katika uchaguzi wa 2020 unaonekana takataka machoni pa watanzania na hayati jiwe ndio amesababisha haya
🤭🤭🤭Nanyamaza sisemi
 
Amepata nafasi nyeti sana lakini anahitahi kubadilika ili aweke integrity kwenye hiyo nafasi, na kutunza heshima ya aliyemteua.

Akiwa Msaidizi wa Jaji Mkuu alikuwa na element za UTAPELI. Kuna maamuzi ya kuhamisha Mahakimu ambayo alikuwa anafanya bila idhini ya CJ. Pengine alikuwa anapata chochote.

Nimeliweka hili kumjenga na siyo kumbomoa kwa hiyo halihitaji ubishi.
Mchengerwa, njoo huku usome tena. Ulionywa kwenye hiyo nafasi kwamba inahitaji INTEGRITY ya Hali ya juu. Kuondolewa kwako kupelekwa UTAMADUNI siyo Bure halafu kama demotion.

Akili kichwani mwako, usipobadirika Na hapa anakutoa nje bila kujali kuwa ni mkweo
 
Ruvuma siyo miongoni mwa mikoa iliyopo mwambao wa Bahari ya Hindi.

Ruvuma haina eneo la Pwani.

Ruvuma ni bara Nyanda za juu kusini.
Anha lakini Mndengeleko wengi wao wanapatikana mkoa wa Ruvuma
 
Hapana,

Wengi wao wanapatikana Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani.

Mkoa wa Ruvuma kuna makabila ya wangoni, wanyasa, wandendeule kule Tunduru, wamatengo n. K
 
Anha bila shaka nilichanganya wandengeleko na wandendeule
 
Mengi yameongelewa, Mohammed alisoma A level Malangali Secondary ipo Iringa Mufindi ni shule ya serikali, na baada ya hapo aliajiriwa na Mahakama kama Clerk lakini ndio alikuwa ameshamaliza kozi za unaa zile.

Baada ya hapo akaanza chuo Makerere University Uganda akisomea shahada ya kwanza ya Sheria.

Aliporudi alikuwa anakaa sinza pale maeneo ya Fine Traveller, ndipo alipofanikiwa kufanya interview na kuitwa kazini kama Resident Magistrate alipangiwa kazi Mkoani Mbeya ambapo alihudumu nadhani mpaka miaka ya 2009 au 2010 akahamishiwa Dar Kisutu.

Baada ya hapo Mahakama ilianzisha utaratibu wa majaji kuwa na Makatibu wao (PA) ndipo yeye akateuliwa kuwa personal assistant (PA) wa Jaji Mkuu (CJ).

Mwaka 2015 akaingia kwenye ulingo wa siasa ndipo akapata ubunge Jimbo la Rufiji.

Kimsingi Rufiji ni kubwa sana na ilisahaulika, hauwezi kutegemea yeye kama mbunge aliyekaa muda mfupi hivi atafanya kila kitu kwa pesa yake ya mfukoni Ila kwa machache amejitahidi na amekuwa anapiga kelele sana kutetea Jimbo lake.

Hata hii ya kutumikia kwa uadilifu mpaka aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Sheria na Katiba ni moja ya nyanja ambazo mbunge hutumia ili kupata access ya kuonana na wakubwa ili kuomba maendeleo yawahi jimboni kwako (lobbying).

So yeye kupata uwaziri haimaanishi atatoa hela mfukoni Ila anapaswa kuendelea kuhakikisha ahadi zake zitatimilika kwa kuzipigania zaidi.

Kuhusu mengine ya kuoa mtoto wa Rais ni kweli kaoa binti wa Rais Samia Suluhu Hassan, ni binti ambaye ni mbunge wa viti maalum akiwakilisha vijana huko Zanzibar.

Hata hivyo huyu bwana sio kwamba amemuoa huyo binti Jana au leo, hii isiwafanye watu wachukulie tofauti sana, hawa walipendana tu, tena binti ni mke nadhani wa tatu kama so wa pili.

Katika vijana ambao wapo CCM na wametulia ambao huwezi kusikia wakijibizana kwenye mitandao au kwenye media ni huyu bwana, yeye mambo yake ni ya chini na ni mtu wa kawaida sana very humble.

Kwa ambao tumeishi nae na kufanya nae kazi kwakweli ukiacha haya maneno mengine, huyu bwana ana uwezo mkubwa tu wa kuongoza kwa busara. Uzuri wake amepata Makatibu wakuu wazuri watamsaidia akiwemo Naibu wake.

Kila la kheri Mheshimiwa Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
Alisoma Makerere au Kampala university?
 
Siku hizi wala sio kivilee maana kuna vilaza niliona waifel sua wakaenda kusoma huko nakumaliza bila sup, nikajua kumbe hivyo vyuo ilikuwa zamani lakini siku hizi wala!
Kampala university alisoma low IQ mmoja na akamaliza, nilishangaa sana
 
Mengi yameongelewa, Mohammed alisoma A level Malangali Secondary ipo Iringa Mufindi ni shule ya serikali, na baada ya hapo aliajiriwa na Mahakama kama Clerk lakini ndio alikuwa ameshamaliza kozi za unaa zile.

Baada ya hapo akaanza chuo Makerere University Uganda akisomea shahada ya kwanza ya Sheria.

Aliporudi alikuwa anakaa sinza pale maeneo ya Fine Traveller, ndipo alipofanikiwa kufanya interview na kuitwa kazini kama Resident Magistrate alipangiwa kazi Mkoani Mbeya ambapo alihudumu nadhani mpaka miaka ya 2009 au 2010 akahamishiwa Dar Kisutu.

Baada ya hapo Mahakama ilianzisha utaratibu wa majaji kuwa na Makatibu wao (PA) ndipo yeye akateuliwa kuwa personal assistant (PA) wa Jaji Mkuu (CJ).

Mwaka 2015 akaingia kwenye ulingo wa siasa ndipo akapata ubunge Jimbo la Rufiji.

Kimsingi Rufiji ni kubwa sana na ilisahaulika, hauwezi kutegemea yeye kama mbunge aliyekaa muda mfupi hivi atafanya kila kitu kwa pesa yake ya mfukoni Ila kwa machache amejitahidi na amekuwa anapiga kelele sana kutetea Jimbo lake.

Hata hii ya kutumikia kwa uadilifu mpaka aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Sheria na Katiba ni moja ya nyanja ambazo mbunge hutumia ili kupata access ya kuonana na wakubwa ili kuomba maendeleo yawahi jimboni kwako (lobbying).

So yeye kupata uwaziri haimaanishi atatoa hela mfukoni Ila anapaswa kuendelea kuhakikisha ahadi zake zitatimilika kwa kuzipigania zaidi.

Kuhusu mengine ya kuoa mtoto wa Rais ni kweli kaoa binti wa Rais Samia Suluhu Hassan, ni binti ambaye ni mbunge wa viti maalum akiwakilisha vijana huko Zanzibar.

Hata hivyo huyu bwana sio kwamba amemuoa huyo binti Jana au leo, hii isiwafanye watu wachukulie tofauti sana, hawa walipendana tu, tena binti ni mke nadhani wa tatu kama so wa pili.

Katika vijana ambao wapo CCM na wametulia ambao huwezi kusikia wakijibizana kwenye mitandao au kwenye media ni huyu bwana, yeye mambo yake ni ya chini na ni mtu wa kawaida sana very humble.

Kwa ambao tumeishi nae na kufanya nae kazi kwakweli ukiacha haya maneno mengine, huyu bwana ana uwezo mkubwa tu wa kuongoza kwa busara. Uzuri wake amepata Makatibu wakuu wazuri watamsaidia akiwemo Naibu wake.

Kila la kheri Mheshimiwa Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
Ni kweli kabisa ana busara na hekima.. nimemfatilia tangu alipopewa wizara mbalimbali...haswa hii aliyopo Ridhiwani Sasa... Kipindi hiki sikujua hata ni mkwe wa Rais... Jamaa sio mshamba, very humble na very smart. Huwezi mkuta kwenye makashfa ya kipuuzi puuz
 
Back
Top Bottom